EULOGY TEMPLATE 2025EULOGY TEMPLATE 2025

NganyiDismus 8 views 2 slides Feb 27, 2025
Slide 1
Slide 1 of 2
Slide 1
1
Slide 2
2

About This Presentation

TEMPLATE


Slide Content

1984 - 2025 FUNERAL PROGRAMME Mr. J oel M ukuna N amolo Sunrise Sunset Designed and printed at TruthEagle Cyber (Hobuyaya) Contacts : + 254713181110 Email : [email protected] 4 NIMEVIPIGA VITA Nimevipiga vita Nimevipiga vita. Vilivyo vizuri X2 Mwendo - mwendo nimeumaliza Mwendo - imani nimelinda Mwwendo - nimeumaliza - imani Nimelinda Baada ya hayo nimewekewa taji nimewekewa taji ya ahadi . Sasa namiminiwa nao wakati wangu wa kufariki kwangu nao umefika . Ataniokoa na neno baya hadi mufikie ufalme wa mungu . Nami nitaishi kwake baba milele

RATIBA YA MAZISHI YA MR JOEL MUKUNA NAMOLO IBANDA CHURCH OF GOD 26/02/2025 EULOGY KUZALIWA Marehemu Joel Mukuna Namolo Alizaliwa May 1984 Emusire Sublocation Akiwa mwenye Afya . Alikuwa M toto wa Saba wa L/L Dorice Ayoma Namolo na Marehemu Livingstone Namolo Muyanzi . Ndugu na Dada Zake ni Andrew, Tabitha, Roseline, Absalom, Judith, Alex na Marehemu Thomas na Herbat . DINI Alibatizwa 01/01/1993 katika kanisa la I banda Church of God kwa maji mengi ya mto . FAMILIA Marehemu Joel Mukuna Alibarikiwa na Ndoa ambapo walifanikiwa kupata Watoto watatu Dorice Ayoma , Risper Ateka na Walter Namolo . ELIMU Alikamilisha Masomo yake ya Msingi Emusire Primary School 1998 baadaye kujinga na chuo cha kiufundi cha Welding baada ya kukosa pesa za kuendeleza masomo . KAZI Alifanya kazi kama instructor Essunza Vocational Training Institute. Alienda Soi akaajiriwa Seregeya Primary School kisha Akaenda Nairobi Ambapo alifanya kazi ya Ufundi . Aliumia akiwa Nairobi akatibiwa na akapata nafuu kisha alitoka Nairobi kuja Nyumbani alikoendelea na matibabu na akapata nafuu . UGONJWA Alikuwa mwenye afya ambapo ugonjwa ilimvamia ghafla alipelekwa Equator Mwichio kwa matibabu ambapo alipimwa akapatikana bila ugonjwa . Alipelekwa Emuhaya akapimwa na Madkatari kupendekeza kuwa apelekwe Mbale hospital, Katika harakati ya kujiandaa alizidiwa na Mungu akampuzisha . Umepigana ile vita njema , umemaliza shindano , umeitunza imani na sasa umeweka taji ambayo mwamuzi wa haki atakutuza siku ile . We loved you but God loved you most 2 3 MWENYEKITI :REV NOEL MUYELA MHUBIRI : REV DAMARY INGATI MWIMBISHAJI : PASTOR JOSPHINE ALLAN USHERS: MAZISHI: SEHEMU YA KWANZA Kwaya kuleta kuongoza msafara wa waliofiwa kwa ibada Maombi ya Kufungua : Pst Selpher Ong’ama Wimbo wa wote Kwaya Wahubiri wa kanisa kusema lengo / Serikali Kwaya Kukaribisha Ushuhuda kutoka kwa Familia Mjane b. Wazazi c. Mvulana / Msichana 7. Kwaya kuleta wasomaji wa Mathew 25:31-33: Rev Jane Wesa 8. Kwaya 9. Mhubiri 10. Maombi 11. Kwaya Kuleta wa Sadaka Maalum 12. Maombi : Abigael Atsulu 13. Sadaka Maalum 14. Kwaya kuleta wa ushuhuda Waliobaki : Mashemeji b. Ndugu /Dada Zake c . Shangazi / Wajomba d . Jirani e. Wapwa ( Abewa ) f . Rafiki 15. Kuombewa waliofiwa : Rev Damary Ingati 16. Matangazo 17. Maombi ya Kufunga ibada : Rev Noel Muyela MAZISHI: SEHEMU YA PILI Kiongozi : Rev David Sianzwi L/L Gilbert Andafu L/L Joseph Omale Ibrahim Otemba
Tags