marketplace iteracy rainers_presentation

josephabdonaj 1 views 48 slides Oct 05, 2025
Slide 1
Slide 1 of 48
Slide 1
1
Slide 2
2
Slide 3
3
Slide 4
4
Slide 5
5
Slide 6
6
Slide 7
7
Slide 8
8
Slide 9
9
Slide 10
10
Slide 11
11
Slide 12
12
Slide 13
13
Slide 14
14
Slide 15
15
Slide 16
16
Slide 17
17
Slide 18
18
Slide 19
19
Slide 20
20
Slide 21
21
Slide 22
22
Slide 23
23
Slide 24
24
Slide 25
25
Slide 26
26
Slide 27
27
Slide 28
28
Slide 29
29
Slide 30
30
Slide 31
31
Slide 32
32
Slide 33
33
Slide 34
34
Slide 35
35
Slide 36
36
Slide 37
37
Slide 38
38
Slide 39
39
Slide 40
40
Slide 41
41
Slide 42
42
Slide 43
43
Slide 44
44
Slide 45
45
Slide 46
46
Slide 47
47
Slide 48
48

About This Presentation

Kitabu chetu cha Mpango wa Biashara kitakuwa na sehemu hizi
1. Taarifa za Kikundi: Jina la kikundi, wanachama, na malengo.

2. Wazo la Biashara: Tunauza nini na kwa nini ni maalum.

3. Uchambuzi wa Soko: Nani wateja wetu na waushindani wetu.

4. Mpango wa Fedha: Gharama, bei, na makadirio ya faida.


Slide Content

Marketplace Literacy Training slides
-Training of trainers presentation -
1
“Investing in Maasaiwomen
for improving rural community well-being”
Contract n. DCI-HUM/2014/341-127

SEHEMU YA KWANZA
Ufahamu wa masoko
2

Ufahamisho
•Ukaribisho
•Utambulisho
•Matarajio
•Ramani–barabarayamafunzo(ufahamuwa
masoko/ujasiriamali)
3

Ufahamisho -inaendelea
•Kanuni za mafunzo (Simu, muda, kuheshimu
maoni ya wengine, kuheshimiana, kupendana,
uwazi, kukosoana n.k.)
•Kuchagua viongozi
•Kujenga Timu katika mafunzo
•Lengo: Mafunzo yatalenga watu wenye kipato cha
chini
4

KAULI MBIU YA MAFUNZO
“BiasharaniMaisha”
5

Matokeo ya mafunzo
Baada ya mafunzo washiriki wataweza
•Kueleza kwa msisitizo (kama wateja au
wajasriamali) umuhimu wa kufahamu mienendo
ya masoko na ujasiriamali badala ya kusisitiza
ufahamu wa kununua na kuuza bidhaa au
huduma peke yake
•Kufanya ujasiriamali kwa uwezo mkubwa na kwa
usahihi kwa kuzingatia uwiano wa haki za mteja
(mnunuzi) na haki za muuzaji
•Kujiamini katika biashara kutokana na ufahamu
wa mienendo ya masoko na ujasiriamali
6

Ufafanuzi wa kauli mbiu
Neno “MAISHA” lina maana mchakato wa kuboresha
nafsi za binadamu ambazo ni pamoja na nafsi za
•Kiroho
•Hisia
•Kiakili
•Kimwili
•Kijamii
•Kimazingira
7

Ufafanuzi wa kauli mbiu
•Madhumuniyamchakatowakuboreshanafsini
kuishiMAISHA BORA kwamaanayamaishaya
furaha
•Neno“BIASHARA” kwaujumlalinamaana
kubadilishanavituau hudumakwaajiliyakuboresha
nafsizabinadamu(Nafsizakiroho, hisia, kiakili,
kimwili, kijamiinakimazingira) yaanikukidhimahitaji
yawajasiriamali, watejanawanajamiiiliwaweze
kuishimaishayafuraha
•Ina maanakuwanilazimabiasharaifanyikekwa
kuzingatiahakizawatuambaponipamojana
kuzingatiahakizawanawake, wazee, walemavuna
watotokatikajamiinakatikafamilia
8

Masoko
Utangulizi
•Somo: Dhana ya ufahamu wa masoko (Ufafanuzi)
•Umuhimu wa kufahamu mienendo ya masoko kabla ya
kuzalisha bidhaa
Kwa mteja
Kwa mjasiriamali
9

Masoko -inaendelea
•Uhusiano kati ya somo na kauli mbiu ya mafunzo
(Somo linalenga kuboresha maisha ya watu, siyo tu
kwa ajili ya kupata elimu au stadi kuhusiana na
somo)
•Tafsiri ya maneno soko, sokoni
10

Kitu muhimu kuliko vyote
11

Mteja
•Mteja: Ufafanuzi wa neno mteja
•Mteja ni mfalme: Huu ni msisitizo kuwa mteja ni kitu
muhimu kuliko vyote katika biashara (Zoezi: Washiriki
kuchagua picha wanazoona ni kitu muhimu kuliko
vyote katika biashara na kueleza sababu ya uchaguzi
wao)
•Ina maana ni lazima kutumia muda wa kutosha
kuliko ilivyo kwa sasa ili kumuelewa na kumhudumia
mteja kikamilifu
12

Tabia ya mteja
•Kujiuliza swali KWANINI ili kufafanua tabia za mteja,
tabia za muuzaji na mienendo ya soko wakati wa kuuza
na kununua (Kwanini wengi wamevutia na duka hili au
lile, kwanini wateja hawakulinganisha bei za maduka
mawili kabla ya kununua n.k.)
•Ujumbe:
•Kuna manufaa zaidi kwa mjasiriamali kufahamu tabia
ya mteja katika kununua kuliko kufahamu jinsi ya
kununua na kuuza bidhaa au huduma peke yake
13

Tabia ya mteja
ZOEZI
14

Majukumu na haki ya mteja
•Kanuni za kununua na umuhimu wake katika
biashara
•Mifano ya kanuni za kununua bidhaa au huduma
Kutayarisha orodha ya kuzingatia kabla ya
kwenda sokoni kununua bidhaa
Kuepuka kununua bidhaa ambayo wakati
wake umekwisha
Kununua bidhaa kwa kuzingatia viwango-
Nembo ya viwango, chapa, n.k.
Kuchunguza idadi, uzito, ujazo n.k. kabla ya
kununua
15

Majukumu na haki ya mteja -inaendelea
•Kudai risiti inayotambuliwa na serikali
•Kuhesabu chenji mara baada ya kupokea kutoka kwa
muuzaji
•Kuepuka kuchafua mazingira
•Kudadisi thamani ya bidhaa ili kufahamu na kulipia
thamani halisi
•Kulinganisha bei ya bidhaa kwenye maduka mengine
kabla ya kununua
16

Majukumu na haki ya mteja -inaendelea
•Kununuakwakuzingatiathamaniyasasaau ya
baadaebadalayakununuakwamadhumuniyasiyo
natija
•Kuepukakufanyashughulizabiasharazinazoathiri
hisianashughulizakijamii
•Kuzingatiakuwamtejaanahakisawanamuuzaji.
(Rejeausawakwakuonyeshamizaniambapouzito
wamtejaunalingananauzitowamuuzaji)
Ujumbe: Mtejanamjasiriamalihujengahaliya
kujiaminikatikabiasharakwakufuatakanuniza
kununuabidhaaau huduma
17

Thamani
•Ufafanuzi wa neno “Thamani”
•Mahusiano ya maneno thamani, bidhaa na huduma
•Mifano ya thamani (bidhaa, huduma)
•Elimu (Huduma)
•Mifugo (Bidhaa)
•Samadi (Mbolea; malighafi ya nishati)
•Sabuni (bidhaa)
•Sukari (bidhaa)
•Matangazo (Huduma)
18

Thamani -inaendelea
Mifanoyathamani
•Mahubiri(Huduma)
•Maombi(Huduma)
•Wimbo(Huduma)
•Uaminifu(Huduma)
•Uwazi(Huduma)
•Vipaji(Huduma/bidhaa)
•Mahusianokwaupendowadhatinawatu
kwamfanomajirani
•Miti
•Asali
•N.k.
19

Thamani -inaendelea
•Matumizi ya neno thamani katika kutafsiri neno
biashara au ujasiriamali
•Kutambua thamani zilizopo kwenye mazingira
tunayoishi (Washiriki kutoa ushuhuda wa thamani
zilizopo kwenye mazingira yao)
•Kutengeneza thamani
•Kuongeza thamani
•Mnyororo wa thamani
•Mifano ya thamani (bidhaa au huduma) zinazoweza
kutengenezwa bila kusubiri mtaji wa fedha
20

Mnyororo na Ongezeko la thamani
21

Kubadilishana thamani
22

Thamani -inaendelea
•Gharama za bidhaa kuhusiana na
Ongezeko la thamani
Mnyororo wa thamani
•Bei za bidhaa kuhusiana na
Ongezeko la thamani
Mnyororo wa thamani
23

Thamani -inaendelea
Ujumbe:
•Kila mtu mzima ana uwezo wa kutambua thamani
(bidhaa au huduma) katika mazingira yake au
kujenga thamani mpya akitaka
•Inawezekana kutambua au kujenga thamani bila
kuwa na mtaji wa fedha
•Mtaji bora katika ujasiriamali ni akili na maarifa
ukichanganya na ubunifu
•Inafuatia kuwa kila mtu mzima ana uwezo wa
kubadilishana thamani na wengine baada ya
kuzitambua au kuzijenga thamani hizo kabla ya
kuwa na mtaji wa fedha
24

Thamani -inaendelea
Ujumbe
•Kwahiyo, kila mtu mzima ana uwezo wa kuanza
biashara/ujasiriamali bila kusubiri mtaji wa fedha
kwa kuwa tafsiri ya biashara/ujasiriamali ni
kubadilishana thamani kati ya mnunuzi na muuzaji
•Kitu muhimu ni kupata wateja wa uhakika kwanza.
Mbinu tofauti na mtaji wa fedha zinaweza
kutumika kufanikisha biashara (kubadilishana
thamani)
•Nafasi ya mtaji wa fedha itakuwa ni kuboresha,
kuimarisha au kupanua biashara
25

Utafiti
•Maanayanenoutafiti
•Madhumuniyautafitikatikabiashara
•UtafitiusisitizekuulizanakujibuSwali“KWANINI”
kuhusiananavipengelembalimbalivyamasoko
•Swali“KWANINI” badalayamenginekama“WAPI,
LINI, NANI n.k. hutoafursayakuelewatabiana
mienendoyamasokokwakina nakwamapana.
Maswalimenginepia yanaumuhimuwake katika
utafiti
•Mifanoyaswali“KWANINI”
26

Utafiti -unaendelea
•Mifano ya masuala ya kufanyia utafiti katika
biashara
Kulinganisha bei kabla ya kununua bidhaa au
huduma
Kuchunguza vizuri biashara ya kufanya
Kuchunguza ushindani katika biashara
Kuchunguza utayari wa wateja na uwezo wao wa
kununua bidhaa au huduma
Kuhakiki utayari wa wateja na uwezo wao wa
kununua bidhaa au huduma
27

Utafiti -unaendelea
•Ujumbe:Mteja au mjasiriamali hufanya utafiti kwa
madhumuni ya kupata taarifa sahihi ili kufanya
maamuzi sahihi
•Rejea mwongozo wa mafunzo
28

Mwendelezo wa masoko
Mjasiriamali huzingatia mwendelezo wa masoko
•Kifedha
•Shughuli za masoko kuongeza kwa wingi kipato cha
biashara kifedha
•Kiutawala
•Shughuli za masoko kuwa na mfumo kamili wa
kujiendesha
•Kimazingira
•Shughuli za masoko zisiharibu mazingira au mazingira
yasiharibu shughuli hizo
29

Mwendelezo wa biashara -unaendelea
•Kijamii
•Shughuli za masoko kuzingatia haki za kijamii
pamoja na kuzingatia haki za wanawake, wazee,
watoto, walemavu n.k.
•Ujumbe:
•Mjasiriamali hutayarisha na kutekeleza mpango wa
mwendelezo wa masoko anapoanza biashara
•Rejea (Mwongozo wa mafunzo): Ukurasa
30

Muhtasari wa yaliyofundishwa
UFAFANUZI
31

SEHEMU YA PILI
Ufahamu wa ujasiriamali
32

KAULI MBIU YA MAFUNZO
“BIASHARA NI MAISHA”
33

Ufahamu wa ujasiriamali
Wigo wa mafunzo
•Biashara ni MFUMO na siyo shughuli ya kuuza na
kununua bidhaa au huduma tu
•MFUMO wa biashara una vipengele vingi
34

Ufahamu wa ujasiriamali
•Vipengele vingi vya biashara huwezesha bidhaa au
huduma kuwepo
•Ina maana kuwa vipengele vinavyowezesha
bidhaa kuwepo ni muhimu kuliko bidhaa au
huduma katika biashara
35

Ufahamu wa ujasiriamali….unaendelea
•Inafuatiakuwanibusarakwamjasiriamalikuweka
msisitizozaidikwenyevipengelevyabiashara
vinavyowezeshabidhaaau hudumakuwepo
badalayakuwekamsisitizokwenyebidhaaau
hudumapekeyake
•Kuwafahamishawashirikikuwabiasharaendelevu
inahusukujengamahusianokatiyamuuzajina
mnunuzinasiyokuuzanakununuabidhaaau
hudumatu
36

Vipengele vya ujasiriamali/Biashara
(A)Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali
Ufafanuzi, mifano na ushuhuda
•Utafiti
•Mahitaji / matatizo ya watu
•Tathmini ya fursa za biashara
•Vipaumbele vya biashara
•Mazingira ya ndani ya biashara
•Ushindani katika biashara
37

Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Mazingirayanjeyabiashara(serikali/asili)
•Tabiayawatejakwamapananakwakina (nafsiza
wateja)
•Kuhakikiuwepowawatejawauhakika
•Kupatawateja
•Kubakinamteja
38

Utafiti wa soko na tathmini ya mjasiriamali
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Imani/kuaminiinawezekana
•Kujiaminikatikabiashara(Kuikabilihofu, kupata
taarifasahihi)
•Watuwamfanowakuigwa
•Mihimilikatikabiashara
•Washauriwalezikatikabiashara
•Mifanoyabiasharazilizoanzishwabilamtajiwa
fedha
39

(B)Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Pendekezola thamani
•Wazola biashara
•Mfumowamatumiziyarasilimalikwaajiliya
kufanyaujasiriamali: Kufanikishabiasharakwa
kutumiarasilimalipungufu
•Mkakatiwakutekelezawazola biashara
•Rasilimalizilizopokwaajiliyaujasiriamali
•Usajilinaumilikiwabiashara
•Mahalipa biashara
40

Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Msisitizokatikabiashara
•Kuundabidhaa
•Kuzalishabidhaa
•Kufungashabidhaa
•Kuhifadhibidhaa
•Upatikanajiwabidhaa
41

Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Kupangabeiyabidhaaau huduma
•Kutangazaau kutambulishabidhaaau huduma
•Kusambazabidhaaau huduma
•Kufunguaakauntiyabenki
•Kuuzabidhaa
42

Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Kumbukumbuzabidhaakatikamwaka
•Kumbukumbuzakifedha
•Gharama(Ainazagharama)
•Mtaji/ Mkopokatikabiashara
•Madenikatikabiashara(Madenimazurinamadeni
mabaya)
•Mapato/faida(Ainayamapato/faida)
43

Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifanonaushuhuda
•Mtiririkowafedha
•Maamuziyavyanzonamatumiziyafedhakufuatia
mchanganuowakumbukumbunamtiririkowa
fedha
•Kukuza/ kupanuabiashara
44

Mpango wa biashara
Ufafanuzi, mifano na ushuhuda
•Udhibiti wa biashara
•Viwango
•Mahesabu ya biashara
•Kanuni
•Mikataba/Makubaliano
•Dhamira ya biashara
•Uongozi wa biashara
•Timu ya biashara
•Orodha ya wataalam bingwa wa kila kipengele cha
biashara
45

Mwendelezo wa biashara
Mjasiriamli huzingatia mwendelezo wa biashara
•Kifedha
•Biashara kujitegemea kifedha
•Kiutawala
•Biashara kuwa na mfumo kamili wa kujiendesha
•Kimazingira
•Biashara isiharibu mazingira au mazingira
yasiharibu biashara
46

Mwendelezo wa biashara -unaendelea
Mjasiriamali huzingatia mwendelezo wa biashara
•Kijamii
•Biashara kuzingatia haki za kijamii pamoja na
kuzingatia haki za wanawake, wazee, watoto,
walemavu n.k.
•Ujumbe:
•Mjasiriamali hutayarisha na kutekeleza mpango wa
mwendelezo wa biashara anapoanza biashara
•Rejea Mwangozo wa mafunzo
47

Muhtasari wa yaliyofundishwa
UFAFANUZI
48